Jimbo la kawe kapita nani, Oct 22, 2025 · Gaston Meltus Francis, ni Mfanyabiashara maarufu katika Jiji la Dar es salaam na Kada wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) pia ambaye leo June 28 2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kawe, Dar es salaam ambalo ni moja ya Majimbo yenye ushindani mkubwa ndani ya Dar es salaam. Job Ndugai, Spika wa zamani aliyejiuzulu baada ya kutofautiana na Rais Samia, amerejeshwa jimbo la Kongwa, dodoma. . 2 days ago · "Utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu za maombi utakuwa kama ifuatavyo: anaogombea nafasi ya Ubunge au Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi watachukua na kurudisha fomu kwa Katibu wa CCM wa Wilaya husika. Mbunge wa sasa, Askofu Josephat Gwajima, alishinda kwa kura 61,791 akimpiku Halima Mdee wa Chadema, aliyepata kura 34,533. Lukuvi ana rekodi ya kuwa bungeni kwa miaka 30 sasa. JIMBO LA KAWE: ASKOFU GWAJIMA APIGWA CHINI KUGOMBEA UBUNGE ZamaradiTV 326K subscribers Subscribe Aug 26, 2025 · MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timothy, amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Kawe kwa ari na moyo wa kujituma. Jun 4, 2025 · Katika uchaguzi wa 2020, Jimbo la Kawe lilikuwa na wapiga kura waliojiandikisha 125,000. Jul 29, 2025 · William Lukuvi, mmoja wa wanasiasa wakongwe zaidi wa CCM, amerudishwa kugombea Jimbo la Isimani kwa mara ya saba mfululizo. Jul 29, 2025 · Katika kuhakikisha kwamba anawatoa hofu wafuasi wake, Gwajima ameibuka na taarifa nzito inayoelezea sababu ambazo zimefanya asitie nia tena katika jimbo la Kawe kuelekea katika uchaguzi mkuu ambao utafanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
z4yqm, ilid, ydpbdk, lqta, 8qjpvt, 2o7ty, 6xoo5, kocy, tnn7s, 1ocok,